Tuesday, March 17, 2009

HALOW MABIBI NA MABWANA

NADHANI WOTE HAMJAMBO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE.MIMI NI ND.RENATUS SALIA .NAOMBENI WOTE KWA UJUMLA WENU MNIPE TAHTMINI YA HIKI NIKIWAZACHO JE, NI CHA KWELI? OK, MIMI NAWAZA KAMA IFUATAVYO:
TNZANIA YETU NI TAJIRI SANA ILA UTAJIRI WAKE TUNAOGOPA KUUTUMIA ILI KUUFAIDI.